Taarifa
 kuhusu uwezekano wa matukio ya Mvua kubwa (zaidi ya milimita 50 katika 
kipindi cha saa 24 kila siku) katika baadhi ya maeneo ya mikoa  ya 
Rukwa, Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara  na
 maeneo jirani ya mikoa hiyo kati ya tarehe 30 Januari, 2013 hadi 01 
Februari, 2013.
Hali hii inatokana na kuwepo kwa kimbunga “FELLENG” kaskazini-mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo tajwa.
Hali hii inatokana na kuwepo kwa kimbunga “FELLENG” kaskazini-mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo tajwa.
 
No comments:
Post a Comment