
Coastal union Under 20 leo
tena kwa kishindo imetinga hatua ya nusu fainali ya Uhai cup baada ya
matokeo ya 2-2 kwa dk 90 dhidi ya Ruvu Shooting na baadaye kushinda kwa mikwaju
ya penati 4-3...........nusu fainali itacheza na Simba B na nusu
fainali nyingine ni Azam Fc na Mtibwa Sugar

baadhi ya wahariri wakifuatilia mada ambazo zilikuwa zikiwasilishwa
kaimu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Bw Teophil Makunga akielezea umuhimu wa elimu kwa kuhusu sekta ya hifadhi ya jamii
Bw Salim Salim akichangia mada ya sekta ya hifadhi ya jamii