Alhamisi
 hii feb7 2013 kuanzia saa moja usiku kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM 
dakika 120 zitatumika kuirusha Exclusive interview ya BABU WA LOLIONDO, ni safari iliyochukua dakika 570 
kutoka Arusha mjini, ni zaidi ya saa masaa tisa(9).
Safari
 ya kwenda kwa Babu wa Loliondo Samunge ilianza kwenye defender ya polisi kwa sababu magari ya watu binafsi yalikua 
yanagoma kwenda kutokana na vita kali ya Wasonjo na Wamasai, hivyo njia 
pekee ya kufika kwa Babu ni kusindikizwa na Polisi, stori kamili ni 
Alhamisi hii feb 7 2013 kwenye AMPLIFAYA Clouds Fm.
 
 
No comments:
Post a Comment