
Coastal union Under 20 leo
 tena kwa kishindo imetinga hatua ya nusu fainali ya Uhai cup baada ya 
matokeo ya 2-2 kwa dk 90 dhidi ya Ruvu Shooting na baadaye kushinda kwa mikwaju 
ya penati 4-3...........nusu fainali itacheza na Simba B na nusu 
fainali nyingine ni Azam Fc na Mtibwa Sugar
 
 
No comments:
Post a Comment