Wednesday, November 28, 2012

"omama,nakufa men,sijaipenda men..usiniguse men unanichafua men...unaniua men....oh ma gad"... rest in peace jembe!...

WACHEKESHAJI MASHUGHULI,MZEE MAJUTO(KUSHOTO) NA SHARO MILIONEA(KULIA) ENZI ZA UHAI WAKE

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2012/05/Mzee-Majuto-na-Sharo-Milionea.jpg


SHARO MILIONEA(KULIA) ENZI ZA UHAI WAKE

 http://filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2012/11/Hussein-Mkiety-334.jpg

 baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
 


 Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga baada ya kupinduka kutokana na tairi ya mbele kupata pancha. 
 


Mbunge wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni .
 


Wakazi wa wilaya ya Muheza na maeneo mengine wakiwa wamefurika nje ya Chumba cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza, kusubiri kushuhudia mwili wa Sharo Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari.
 


HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA ULIVYO BAADA YA KUPATA AJALI
http://api.ning.com/files/Jsk9BgIG98kCMg0IWM8guxpYOSEoA6EHISmgahMRPpY3tFdHHR*Yj05clxmxKaABtv2CKgoXagWA8ORk60CtvH4FeWhR0F8s/SHALOMILLIONEA.jpg


BAADHI YA VIJANA WALIHUDHURIA MAZISHI KWA KUPANDA MINAZI
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlk6I2qNWkwJe06DvTBEOqYpek2yxIF-1h6NeUcEN16Bvzxzt_ZtjYuLlY_shunBN65oExUfLeYHYNTfUcPC8TucTlsF58mIQrHTMA6Xs8NjeoHvcyeINPZBiW8RBIaunWWdvVVL4y8_I/s1600/13.+Vijana+wakiwa+wamepanda++mnazi+kuona+mazishi+ya+sharo+%25281%2529.jpg

ukiangalia vizuri pembeni Hapo utamuona Bongo move superstar Vicent Kigosi a.k.a (Ray) Akishuhudia mazishi ya aliyekuwa Star wa Bongo Marehemu Hamisi Ramathani A.k.a (Sharomilionea) wakati wakati wa kumuaga ktk safari yake ya mwisho ................................
 https://fbcdn-sphotos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/30943_253377971456203_195077743_n.jpg


msako mkali wa polisi jamii waleta tumaini kwa baadhi ya vitu kama tairi ya akiba,saa ya mkononi,mkanda wa suruali,simu,betri na shati vya marehemu sharo milionea kuanza kupatikana baada ya kauli ya serikali kupitia vyombo vya usalama wa raia wilaya ya Muheza,hivi ni baadhi ya vitu.