Saturday, November 10, 2012

Zao la nazi kwa mji wa Pangani ndio zao kuu la kibiashara

mhunzi kazini










https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRFhAlwearURNepfdem7WRIt6yy32wK0ov8ddqvT13jRxr5QadN
hapa ni kufua nazi

wazee wa vigodoro wanavyokesha kwenye sherehe ambazo haziwahusu!

kama ilivyo ada mapumziko ya mwishoni mwa juma,shughuli nyingi zinafanyika ambapo wale wazee wa vigodoro kitaani wanatapakaa kinoma, kama wamealikwa kumbe basi tu ni kusaidia wahusika wenye sherehe zao kukesha, tabia hiyo imekuwa sugu huku ikiambatana na kuporomoka kwa maadili waziwazi huku baadhi ya watoto wakishuhudia radhi hasa pande za uswahilini jijini tanga nyakati za usiku mwingi!


PICHA MBALIMBALI ZA MIKASA KATIKA SHUGHULI ZA VIGODORO