WAANDISHI NAO WAKISHIRIKI KWA NAMNA YA PEKEE MAZIKO YA SAJUKI!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma
Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam
leo Januari 4, 2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka
saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma
Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam
leo Januari 4, 2013.
Masanja Mkandamizaji akisubiria chepe kutupia dongo kaburini,kushiriki mazishi ya Sajuki
Mbunge wa Kinondoni Idd Azan akiteta jambo na William Malechella