MAZINDE JUU
KIFUNGILO
Shule ya Sekondari Kifungilo ilianzishwa mwaka 1935. Ilianza kama kituo cha kutunza watoto, baadaye ikawa shule ya Msingi, baadaye mwaka 1981 ilianza kutoa masomo ya Sekondari ikijulikana kama Shule ya Sekondari ya Wasichana Kifungilo. Mwaka 1996 kidato cha tano na sita kilifunguliwa.
Masta wa Damu Takatifu pia hutoa huduma katika
Majimbo mengine. Haya ni Arusha, Moshi, Morogoro, Zanzibar na Nairobi.
Pia hutoa huduma nchi za Zambia, Zaire, Zimbabwe, Afrika ya Kusini,
Korea, Amerika, Kanada na Ulaya.
Nembo yao ni Mwana Kondoo wa Pasaka, Mkombozi wetu
aliyekuwa tayari kujitolea kwa ajili ya wanakondoo.
SONI SEMINARY
TANGA SCHOOL
LWANDAI
GALANOS SECONDARY SCHOOL
HANDENI SECONDARY
USAGARA SECONDARY
KIDELEKO
ECKERNFORDE SECONDARY SCHOOL
KOROGWE GIRLS