Monday, December 3, 2012

Ziara ya Thehabari.com Korogwe Vijijini yafana

sehemu kubwa ya ardhi eneo hili la Korogwe Vijinini ni milima na barabara zimechongwa pembeni ya milima.



  mashamba ya zao la chai Kijiji cha Bungu Msigwa Korogwe Vijijini
 


 miti hii hukatwa na kutumika kukaushia zao la chai na wawekezaji wa chai eneo hilo.
 


sehemu kubwa ya ardhi ya Korogwe Vijijini ni Milima na miinuko lakini hali hiyo haizuii kupata viwanja vya michezo chapokuwa si tambalale kama ilivyo kwa maeneo mengine. Pichani wanafunzi wa Shule ya Msingi Bungu wakicheza kabumbu wakati wa mapumziko.
 


hii ndio hali ya hewa eneo la Kijiji cha Bungu Korogwe Vijijini nyakati za asubuhi, ni ukungu wa baridi kama ulaya vile.
 


mjumuiko huu ulikutwa pembezoni mwa barabara lakini mazungumzo yao yote yalikuwa kwa lugha ya kisambaa, haijalishi wewe unajua au la..ni “nzeze mosie,mbwai bana?