WACHEKESHAJI MASHUGHULI,MZEE MAJUTO(KUSHOTO) NA SHARO MILIONEA(KULIA) ENZI ZA UHAI WAKE
SHARO MILIONEA(KULIA) ENZI ZA UHAI WAKE
baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR
alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya
Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa
papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR
alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya
Muheza mkoa wa Tanga baada ya kupinduka kutokana na tairi ya mbele kupata pancha.
Mbunge wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali
ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa
katika ajali ya gari wakati akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani
Tanga, ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni .
Wakazi wa wilaya ya Muheza na maeneo mengine wakiwa
wamefurika nje ya Chumba cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza, kusubiri
kushuhudia mwili wa Sharo Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari.
HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA ULIVYO BAADA YA KUPATA AJALI
BAADHI YA VIJANA WALIHUDHURIA MAZISHI KWA KUPANDA MINAZI
ukiangalia
vizuri pembeni Hapo utamuona Bongo move superstar Vicent Kigosi a.k.a
(Ray) Akishuhudia mazishi ya aliyekuwa Star wa Bongo Marehemu Hamisi
Ramathani A.k.a (Sharomilionea) wakati wakati wa kumuaga ktk
safari yake ya mwisho ................................
msako mkali wa polisi jamii waleta tumaini kwa baadhi ya vitu kama tairi ya akiba,saa ya mkononi,mkanda wa suruali,simu,betri na shati vya marehemu sharo milionea kuanza kupatikana baada ya kauli ya serikali kupitia vyombo vya usalama wa raia wilaya ya Muheza,hivi ni baadhi ya vitu.