Kihistoria Mkoa wa Tanga ulitumiwa sana na wakoloni wa Kireno, Kiarabu, Kijerumani na Kiingereza ikiwa lango la biashara na uchumi kwa kuunganisha sehemu za ndani za Afrika Mashariki na Kati na sehemu mbalimbali za Dunia kupitia bahari ya Hindi.
Saturday, November 10, 2012
wazee wa vigodoro wanavyokesha kwenye sherehe ambazo haziwahusu!
kama ilivyo ada mapumziko ya mwishoni mwa juma,shughuli nyingi zinafanyika ambapo wale wazee wa vigodoro kitaani wanatapakaa kinoma, kama wamealikwa kumbe basi tu ni
kusaidia wahusika wenye sherehe zao kukesha, tabia hiyo imekuwa sugu huku ikiambatana na kuporomoka kwa maadili waziwazi huku baadhi ya watoto wakishuhudia
radhi hasa pande za uswahilini jijini tanga nyakati za usiku mwingi!
PICHA MBALIMBALI ZA MIKASA KATIKA SHUGHULI ZA VIGODORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment