baadhi ya watoto Korogwe vijijini wamekumbwa na ugonjwa wa kushambuliwa na funza kwa kiasi kikubwa miguuni na mikononi kutokana na familia kutokuwa karibu na watoto wao!.
baadhi ya watoto wanaoshambuliwa na ugonjwa wa funza. Kuanzia mtoto wa pili
kutoka kulia ni miongoni mwa familia zinazoshambuliwa na ugonjwa wa
funza eneo la Kibaoni Korogwe Vijijini.
hata
hivyo si watoto wa familia zote wamekubwa na ugonjwa huo, wapo ambao
wanaangaliwa kwa karibu na familia zao kama wanavyoonekana baadhi ya
watoto katika picha hii, ambao wamesalimika.
Na: Mwandishi wa Thehabari Korogwe Vijijini
No comments:
Post a Comment