Kihistoria Mkoa wa Tanga ulitumiwa sana na wakoloni wa Kireno, Kiarabu, Kijerumani na Kiingereza ikiwa lango la biashara na uchumi kwa kuunganisha sehemu za ndani za Afrika Mashariki na Kati na sehemu mbalimbali za Dunia kupitia bahari ya Hindi.
Wednesday, December 19, 2012
semina ya SSRA kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika Tanga Beach Resort hivi karibuni jijini Tanga
mjumuiko wa wahariri wa vyombo vya habari nchini Tanzania na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya jamii(SSRA] katikati akiimba wimbo wa mshikamano daima katika semina ya SSRA kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika Tanga Beach Resort hivi karibuni jijini Tanga
baadhi ya wahariri wakifuatilia mada ambazo zilikuwa zikiwasilishwa
kaimu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Bw Teophil Makunga akielezea umuhimu wa elimu kwa kuhusu sekta ya hifadhi ya jamii
Bw Salim Salim akichangia mada ya sekta ya hifadhi ya jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment