Saturday, September 22, 2012

Uwanja wa Mkwakwani Uwanja wa Mkwakwani upo Mkoa wa Tanga unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), ulijengwa mwaka 1972 na unachukua watazamaji 15,000.





Hii ni sehemu wa wafanyakazi waliojitokeza katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga

No comments:

Post a Comment