Wednesday, October 3, 2012

HITILAFU YA UMEME YASABABISHA BASI LA DAR EXPRESS KUTEKETEA KWA MOTO MAENEO YA NJIA PANDA SEGERA YA KWENDA TANGA MJINI,KILIMANJARO NA DAR ES SALAAM,WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA JANA MCHANA.HAKUNA ALIYEJERUHIWA WALA KUPOTEZA MAISHA ILA BASI NA MIZIGO ILITEKETEA

Picture
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjElqvrhg7sEmr2fJ17vnsoUXVFwRMnuBSgAWeq4ao4Neu-IvG1vSz5IhhmIuCAr5C36r6UXy5GgBco5MUhX8KfmZhfJhwn0w4OBn8bG4D8dmmlv5_Cxg5PdY8yb5L_44olVzjZleh9ixM/s1600/masalia_darExpress.jpg
Picture

1 comment:

  1. bahati nzuri hakuna aliyepoteza uhai wake wala kujeruhiwa ila mizigo yote pamoja na basi viliteketea

    ReplyDelete