Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Padri Ambros Mkenda wa Kanisa
Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taasisi
ya mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar es
salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Padri Ambros Mkenda wa Kanisa
Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taasisi ya
mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar es salaam jana Jumamosi Dsemba 29, 2012 kukupigwa risasi sehemu za mdomoni na watu
wasiojulikana mapema wiki hii wakati akisubiri kufunguliwa geti la
nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar akiwa ndani ya gari
aliyokuwa akiendesha akiwa pekee yake. Rais Kikwete amempa Padri Mkenda
pole nyingi na kumuombea apate nafuu haraka.
No comments:
Post a Comment