Alhamisi
hii feb7 2013 kuanzia saa moja usiku kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM
dakika 120 zitatumika kuirusha Exclusive interview ya BABU WA LOLIONDO, ni safari iliyochukua dakika 570
kutoka Arusha mjini, ni zaidi ya saa masaa tisa(9).
Safari
ya kwenda kwa Babu wa Loliondo Samunge ilianza kwenye defender ya polisi kwa sababu magari ya watu binafsi yalikua
yanagoma kwenda kutokana na vita kali ya Wasonjo na Wamasai, hivyo njia
pekee ya kufika kwa Babu ni kusindikizwa na Polisi, stori kamili ni
Alhamisi hii feb 7 2013 kwenye AMPLIFAYA Clouds Fm.
Kwenye interview ya zaidi ya dakika 60 na Babu wa Loliondo Ambilikile,
picha na stori nyingine zitapatikana kwenye millardayo.com kuanzia
jumatano usiku na alhamisi.
No comments:
Post a Comment